Mwili wa kichanga wakutwa kwenye bomba
Wakaazi wa eneo la Kawangware Nairobi nchini Kenya, wamebaini mwili wa mtoto mchanga uliotupwa kwenye bomba la maji taka. Mwili huo uligunduliwa na waendesha bodaboda waliokuwa wameegesha karibu na Shule ya Upili ya St.Anthony.