Rais wa Peru aondolewa madarakani na bunge Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo Read more about Rais wa Peru aondolewa madarakani na bunge