Nissan na Honda kuungana ili kuliteka soko
Linapofika suala la kumiliki chombo cha usafiri kama vile gari wengi utasikia wakitaja majina makubwa na yaliyozoeleka kwa wengi ni mara chache sana mtu kuchagua aina ya gari kutoka kwenye kampuni ambayo haifahamiki.