Bibi auawa kisa fedha na vitenge vyake
Kijana mwenye umri wa miaka 19, mkazi wa Kafukola wilayani Kalambo, anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Rukwa kwa kosa la kumuua bibi yake mwenye umri wa miaka 80 baada ya bibi huyo kumnyang'anya vitenge na fedha mpenzi wa mjukuu wake huyo.