CHADEMA haitasusia Uchaguzi Serikali za Mitaa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeahidi kutojitoa kwenye mchakato mzima na ushiriki wa Uchaguzi wa Serikali kama ilivyotokea miaka ya nyuma ili waweze kupata viongozi watakaowawakilisha kwenye ngazi ya jamii.