Wabunge wacharuka miradi kusuasua
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge kilimo, Mifugo na maji wameitaka mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira MWAUWASA jijini Mwanza kuhakikisha wanamsimamia kikamilifu mkandarasi anayejenga chanzo cha maji cha Butimba ili kuhakikisha wakazi wa jiji hilo wanapata maji.