Rais Samia afuta sherehe za uhuru mwaka 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza kiasi cha shilingi milioni 960 zilizotengwa kwaajili ya sherehe za maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania zitumike katika ujenzi wa shule za wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika mikoa nane ya Tanzania bara