Chama cha judo wapatiwa ofisi na Serikali Dsm
Serikali imepongeza Chama cha Mchezo wa Judo nchini kwa utendaji bora ambao ndani ya muda mfupi kimefanya mabadiliko makubwa ya utendaji ambapo imeahidi mchezo huo kupatiwa vyumba vya kuchezea katika viwanja vya michezo nchini.