Daladala Njombe zagoma daladala Madereva wa daladala katika Mji wa Njombe wamesitisha huduma kwa kipindi kisichojulikana baada ya madereva bajaji kuruhusiwa kusafirisha abiria katika maeneo yote ndani ya Halmashauri ya Mji wa Njombe. Read more about Daladala Njombe zagoma