RC Tanga ataja sababu za kuwasimisha watumishi
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amefafanua kuwa sababu za kuwasimamisha kazi Mganga mkuu wa halmashauri ya mji Korogwe, Salma Swedi na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Korogwe, Magunga Dkt. Heri Kihwale ni kutokana na kuchelewa kufika hospitalini kuwahudumia majeruhi

