Vitabu visivyo na maadili vizuiwe - Serikali
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka zuio la matumizi ya vitabu visivyo na maadili ya kitanzania mshuleni ili kuendelea kusimamia utoaji wa elimu na kuhakikisha njia mbalimbali za ufundishaji zinazingatia ubora na maslahi ya nchi

