"Halmashauri msisubiri serikali kuu" - Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka Halmashauri nchini kutumia fedha za makusanyo ya ndani katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo badala ya kusubiri fedha kutoka serikali kuu pekee.