Yanga kuifata US Monastir wikiendi hii
Rais wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema, tayari wameshakamilisha maandalizi ya safari ya kuelekea Tunisia, kwa ajili ya mchezo wa Mzunguuko wa Kwanza Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

