Wanaume watakiwa kupima UKIMWI
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga, amewakumbusha wanaume wenzake kujenga tabia ya kwenda vituo vya kutolea huduma kupima Afya zao,ukiwemo UKIMWI ili kujitambua kama wapo salama na maambukizi ya virusi vinavyochangia ugonjwa huo.