Jengo laanguka Nigeria,makumi wajeruhiwa Mashirika ya dharura yanasema juhudi zinaendelea kuokoa idadi isiyojulikana ya watu waliokwama katika jengo lililoanguka siku ya Alhamisi katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja. Read more about Jengo laanguka Nigeria,makumi wajeruhiwa