Dunia yafikisha wagonjwa milioni 635 wa UVIKO - 19
Shirika la Afya duniani WHO limesema hadi kufikia Novemba 23 mwaka huu idadi ya wagonjwa wa UVIKO 19 duniani ni milioni 635 na vifo milion 6.6 huku kwa Afrika wagonjwa wamefikia zaidi ya milioni 9.3