Tanzania kumwagilia Hekta milioni 10 ifikapo 2030 Serikali imetenga shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji ili kufikia lengo la kumwagilia hekta milioni 10 ifikapo mwaka 2030. Read more about Tanzania kumwagilia Hekta milioni 10 ifikapo 2030