"Ninamuombea radhi Dkt Bashiru aliteleza" - Wasira
Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, Lilian Wasira, amemuombea radhi kwa Watanzania na kwa Rais Samia Dkt Bashiru Ally, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni ya kwamba Rais Samia haupigi mwingi.