Uganda kuanza kuchimba mafuta yake leo Shirika la mafuta la serikali ya Uganda limesema kwamba, nchi hiyo itaanza kuchimba kisima chake cha kwanza cha mafuta katika eneo la mafuta la Kingfisher, siku ya leo. Read more about Uganda kuanza kuchimba mafuta yake leo