Nigeria yazindua noti mpya Noti mpya zinazinduliwa nchini Nigeria leo katika juhudi za kupambana na makundi ya kihalifu na ufadhili wa makundi ya Kiislamu na watekaji nyara. Read more about Nigeria yazindua noti mpya