Mr Kuku anatafutwa na Waziri Bashe
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema kutokana na kuwepo kwa utapeli wanaofanyiwa Watanzania kwenye masuala ya kilimo, wizara hiyo imeanza kumfuatilia mtu anayejulikana kwa jina la Mr Kuku kwani imeshapokea malalamiko mengi kumhusu yeye.

