Nyota timu ya taifa Ecuador afariki Dunia

Mchezaji huyo kaitumikia timu yake michezo 16 mchezo wake wa mwisho ukiwa Oktoba 6 siku moja kabla ya kupata ajali ya gari akiwa na Rafiki zake.Kaitumikia michezo 3 timu yake ya taifa mchezo wake wa kwanza ukiwa ule wa Novemba 22 dhidi ya Iraq ambao ulitamatika kwa suluhu ya kutokufungana.

Nyota wa timu timu ya taifa ya Ecuador Marco Angulo afariki Dunia akiwa na miaka 22 hospitalini akipatiwa matibabu kutokana na ajaliyopata Oktoba 7 kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Quito.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS