Mama aua wanaye wawili na yeye kujinyonga
Amina Maketu mwenye umri wa miaka 34 amewaua watato wake wawili wenye umri wa miaka 9 na mwingine ana umri wa mwaka 1 na miezi 8 na kisha yeye mwenyewe kujinyonga huku chanzo cha tukio hilo ikiwa ni ugomvi wa ardhi uliotokea kwenye familia yake.