Simba SC yakusanya billioni 13
Mwenyekiti wa klabu ya Simba anayemaliza muda wake, Murtaza Mangungu amejinasibu kuwa, katika kipindi chake cha miaka miwili ya Uongozi Simba imeongeza mapato na kufikia bilioni 13 kutokana na usimamizi makini katika rasilimali za timu hiyo.

