Waziri Mbarawa ataka ulinzi daraja la JPM
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ametaka ulinzi kuimarishwa zaidi katika daraja Kigongo - Busisi maarufu kama daraja la JPM baada ya jeshi la polisi mkoani Mwanza hivi karibuni kuwakamata watu 9 wanaodaiwa kuiba vifaa vya ujenzi katika daraja hilo

