Wanaosinzia kwenye daladala wanavuta hewa chafu
Baraza la Taifa la Uhifadhi Mazingira (NEMC), limezitaka taasisi za utafiti nchini kufanya utafiti kufuatia kuwepo kwa tafiti zisizo rasmi zinazoeleza kwamba, ukataji miti hovyo unafanya hewa ya ukaa kuongezeka na kusababisha watu wanapopanda kwenye daladala kuanza kusinzia.

