Stars kujiandaa dhidi ya Nigeria, Misri na Chad

Shirikisho la Soka nchini TFF limesema watahakikisha wanafanya maandalizi mazuri kwa ajili ya Timu ya Taifa inayotarajia kushiriki michuano ya Fainali za Mataifa ya Afrika pamoja na Fainali za Michuano ya wachezaji wa ndani CHAN Juni mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS