Serikali yaombwa kusaidia timu ya ngumi wanawake
Serikali na jamii kwa ujumla imeombwa kujitokeza kwa ajili ya kuweza kuisaida kambi ya timu ya taifa ya ngumi za wanawake inayotarajiwa kuingia kambini Mei 15 mwaka huu ikijiandaa na mashindano ya Olimpiki mwakani.