Simba yaacha simanzi Kagera, yaipiga 2-1

Simba wamefufua matumaini wa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyochezwa Uwabja wa Kambarage Mjini Shinyanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS