Yanga kuifuata FC Platinum Kesho
Timu ya Yanga inatarajia kuondoka kesho Kuelekea nchini Zimbabwe kucheza mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho dhidi ya timu ya FC Platinum ya nchini Zimbabwe itakayochezwa April nne uwanja wa Mandava uliopo Gweru Bulawayo.