Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Mbarali

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeumaliza mgogoro wa matumizi ya ardhi wilaya Mbarali mkoani Mbeya uliodumu kwa miaka 15 ambao ulihusisha wakazi wa wilaya hiyo katika eneo la Bonde la Usangu dhidi ya hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS