Utovu wa nidhamu Polisi Moro watimua Sita Kambini Uongozi wa Timu Shiriki ya ligi kuu soka Tanzania Bara, Polisi Moro umewatimua kambini wachezaji wao sita kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu. Read more about Utovu wa nidhamu Polisi Moro watimua Sita Kambini