Billy Ocean kufanya shoo Kampala

msanii wa miondoko ya rnb Billy Ocean

Mwanamuziki mkongwe wa RnB Billy Ocean raia wa Uingereza amewasili nchini Uganda tayari kwa ajili ya kufanya onyesho la muziki liitwalo Black Tie hii leo Jijini Kampala.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS