Mvua zaharibu makazi ya zaidi ya kaya 150 Bariadi Kaya 150 zimekosa makazi katika kata ya Lamadi wilayani Bariadi mkoani Simiyu kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo mkoani humo na kusababisha hasara kubwa kwa wakazi hao. Read more about Mvua zaharibu makazi ya zaidi ya kaya 150 Bariadi