Prezzo azama katika penzi jipya
Msanii wa nchini Kenya Prezzo ambaye amekuwa kimya kwa muda kuhusiana na upande wake katika mahusiano ya kimapenzi ameamua kutoa picha rasmi akiwa amemkumbatia msichana na kuwashangaza mashabiki wake kwa kutwitti maneno ya mapenzi.