Tanzania kushiriki Tenisi Afrika kwa vijana Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi ni miongoni mwa nchi zitakazoshiriki michuano ya Afrika ya tenisi kwa vijana chini ya miaka 18 inayoanza wikiendi hii nchini Misri. Read more about Tanzania kushiriki Tenisi Afrika kwa vijana