Walemavu Njombe wataka Nakala za Katiba Pendekezwa
Makundi ya watu wenye ulemavu wa viungo mbalimbali wakiwemo wenye ulemavu wa miguu na macho mkoa wa Njombe wameiomba serikali kuwapatia nakala za Katiba Inayopendekezwa Ili Na waweze Kuzisoma na Kuipigia Kura Katiba hiyo.