Samatta aisawazishia Stars kwa kwa Wamalawi

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imegawana pointi na timu ya Malawi baada ya sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa Kalenda ya Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA, uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS