TTCL yatakiwa kuboresha huduma vijijini
Serikali imeutaka mtandao wa mawasiliano ya simu za mkononi Tanzania TTCL kuboresha huduma zake hasa katika maeneo ya vijijini ambako mitandao mingine ya simu haifiki ili wananchi walioko pembezoni waweze kupata huduma bora za mawasiliano.