TTA yatakiwa kufanya uchaguzi wa Rais

Baraza la Michezo nchini BMT limekitaka Chama cha Tenisi nchini TTA kukaa na kupanga tarehe rasmi ya kufanya uchaguzi wa Rais wa chama hicho ili kuweza kumaliza kabisa mgogoro uliopo kati ya vyama vya mchezo huo na TTA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS