Yanga yapinga marekebisho ya Bodi ya Ligi
Klabu ya Yanga imepinga mabadiliko ya 37 kifungu cha tatu cha kanuni ya kuomba mchezaji mwenye kadi tatu za njano kuchagua mechi za kucheza yaliyofanywa na Bodi ya Ligi nchini na Shirikisho la Soka nchini TFF.