Kriketi Tanzania kuchaza na Uganda, Afrika Kusini

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Kriketi inatarajia kushuka Dimbani kucheza na Uganda katika mchezo wa Ufunguzi katika mashindano ya Afrika Ligi ya Daraja la kwanza yanayotarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwa wiki hii Nchini Afrika Kusini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS