Gharama zibaki vilevile tathimini ifanyike-Nape Waziri wa Habari na Mawasiliano-Nape Nnauye Serikali imeyataka makampuni yanayotoa Huduma za mawasiliano kutoongeza gharama ama kufanya mabadiliko yeyote mpaka pale tathimini ya ambayo tayari imeanza itakapokamilika. Read more about Gharama zibaki vilevile tathimini ifanyike-Nape