
Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Khamis Hamad Khamsi.
Kamishna wa Zanzibar, Khamis Hamad Khamsi amesema kati ya watu 5000 walioomba nafasi hizo, wenye sifa ni takribani watu 2,000, lakini wapo wenye sifa ambao hawatachaguliwa kutokana na naafsi kuwa chache.
Hayo yanajiri Baada ya jeshi la polisi kutangaza Nafasi za kazi Desemba 5, 2022 na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura kwa watu wenye sifa za stashahada, stashada ya juu, shahada na wahitimu wa kidato cha nne wenye ufaulu wa daraja la 1, 2, 3, 4 wenye alama 26, 27, 28 na 29.