BVR Njombe yaendelea kwa kuvuka malengo
DAFTARI la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR katika halmashauri ya Njombe, limeendelea vizuri huku walio tumika katika kata za awali kutumika katika kata wanazo zianza leo na kesho katika halmashauri hizo.