Hakimu kesi ya Sabaya akosekana mahakamani
Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai LengaI Ole Sabaya, kwa mara nyingine umeshindwa kuwasilisha hati ya kisheria kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini DPP baada ya Hakimu anayeisikiliza kesi hiyo kutokuwepo mahakamani.