Uhamiaji yakana 'kuwakumbatia' wahamiaji haramu
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania, imekanusha taarifa zilizotolewa na chombo kimoja cha habari (sio cha IPP) kwamba imekuwa ikiwakumbatia wageni wanaoingia nchini isivyo halali hususani wahamiaji haramu.