Amri Said 'Stam' aanza kazi kuinoa Polisi Moro Kocha Amri Said 'Stam' ameanza kazi ya kuinoa Polisi Morogoro akitokea Mwadui FC ya Shinyanga baada ya Uongozi wa timu hiyo kumsimamisha aliyekuwa kocha Mkuu Adolf Richard. Read more about Amri Said 'Stam' aanza kazi kuinoa Polisi Moro