Van Nistelrooy anukia Leicester City
Ruud van Nistelrooy anatarajiwa kutangazwa kuwa Kocha mkuu mpya wa klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu Uingereza atakwenda kuchukua mikoba ya Kocha Steve Cooper, aliyefutwa kazi wiki iliyopita baada ya kupoteza mchezo wa ligi kuu EPL kwa goli 2-1 dhidi ya Chelsea.