Ligi Kuu Soka Tanzania Bara kuendelea Kesho
Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea kesho kwa viwanja vitatu kutimua vumbi ambapo Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Yanga watawakaribisha Kagera Sugar mchezo utakaoanza majira ya saa 10 kamili jioni.